Karibu katika kipimo cha afya ya kiume. Kipimo hiki si ushauri wa kitabibu. Ni maswali rahisi yanayoweza kukusaidia kugundua taarifa mpya juu ya afya ya kiume.